Toa likes pata likesLikes hazijawahi kumuacha mtu salama
Sio kumbembeleza?halafu leo mnamchoma mishale ya moto khaaaTufanyeje sasa,mtu wa kulia lia ni kumsaidia kulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa shemeji, habari ya weye?Niaje shemeji
andjul leo anamuonea sana kichwa wangu ndio najaribu kumuonya[emoji125] [emoji125]Mama nipo ujue nakuona.
Hapana mkuu hilo ni la mwanamke[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna mwanaume anaendesha makinikia? Mimi natumia hiliAngalia sana usiishie kupost magari ya wanaume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]