myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
hakika tumepoteza watunzi wengi sana, kweli kila zama na kitabu chake.Hapo hi Skassy Kasambula, Chibanda Son, Hassan Bitchuka, Gurumo na timu nzima wana Ndekule
Sent using Jamii Forums mobile app
Imagine ungemwambia akupikie. Sumu ya panya ingekuhusu.
😀😀😀😀
Chibu kweli warembo kawatafuna dah !
10Mti huu una picha za kadhaa za sura za binadamu,
Tuambie ziko ngapi?View attachment 1321635
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuotaga? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hee halafu yametoka kama yamepikwa na ngosha the don[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hakika tumepoteza watunzi wengi sana, kweli kila zama na kitabu chake.
hapa mziki ulikua mziki mkweli sio hizi biashara za siku hizi.
hii hapa milima ya kwetu yao SUPER RAINBOW
Imagine ungemwambia akupikie. Sumu ya panya ingekuhusu.
Moral of the story: Kaeni mbali na maex
mambo si ndo haya sasa
#natamani nile kwanza kabla ya kula
ha ha ha bro mbona unafukua makaburiAiseee kazi kweli kweli
Chibu kweli warembo kawatafuna dah !
Kama hivyo mimi sikubali narudisha 😀