Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

unaweza ukakumbatiwa na mwanamke mrembo kuliko beyonce wa nyakati zile na usione jambo la ajabu kiupande wako hususani kihisiaaa....

kumbatio la zlatan ibrahimovic ni baraka tosha kwenye maisha yakoooo...
hayaaa andunjeeee amekumbatiwa na Mungu anayetembea... kimejisikia rahaaaaa kama kimekunywa urojo wa bifatuma kipua
View attachment 1321240
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
images (12).jpeg
 
Kupunguza kitambi/tumbo ni changamoto kubwa ni kitu ambacho kina tunyima amani wengi lakini namna ya kukipunguza huwa ni ngumu sana, wengi huwa tuna fanya diet au kuamua kwenda gym kweli zina weza kusaidia lakini kama huwezi hivyo vyote ni nini ufanye?
 
Kunywa Maji
mara nyingi huwa tunakua wavivu kunywa maji, lakini ukijiwekea kuwa una kunywa maji mengi/mara kwa mara kwa siku itakusaidia kuto kusikia njaa, hii itakufanya uwe mbali na vyakula vyakula vya hapa na pale visivyo kuwa na msingi lakini pia maji yana saidia kufanya ngozi iwe nyororo so ni maji maji maji maji. unaweza kuongezea vitu kama limao, tango, tangawizi katika maji yako inaitwa detox water
 
Punguza/Acha Kunywa Soda

Sukari ni moja ya vitu vibaya vinavyo anzisha/kuleta unene kaa mbali nazo na anza kunywa maji kwa wingi, fresh juice na green tea husaidia sana kupunguza hamu ya kunywa soda lakini pia hazileti negative effects katika mwili wako tofauti na soda
 
4.Weka Ratiba Ya Chakula

ni vizuri kama utakuwa unajipikia mwenyewe maana utajua uweke chumvi, sukari kiasi gani, mafuta nk. Pangilia ratiba yako ya week nzima lakini pia katika ratiba yako weka healthy food ambazo zitakufanya uweze kupuguza mafuta mwilini,
 
5.Acha Kula VitaFunwa Vidogo Dogo

biscuits, Big G, Chocolate ni vitamu na vina temptation sana lakini navyo vinaongeza sukari na kusababisha kuleta unene tumboni jaribu kuviepuka sana tembea na fresh juice, unapo jisikia kula kitu kitamu kitamu kunywa juice.
 
Kunywa Maji
mara nyingi huwa tunakua wavivu kunywa maji, lakini ukijiwekea kuwa una kunywa maji mengi/mara kwa mara kwa siku itakusaidia kuto kusikia njaa, hii itakufanya uwe mbali na vyakula vyakula vya hapa na pale visivyo kuwa na msingi lakini pia maji yana saidia kufanya ngozi iwe nyororo so ni maji maji maji maji. unaweza kuongezea vitu kama limao, tango, tangawizi katika maji yako inaitwa detox water
Jirani hujambo....
 
7.Mafuta si rafiki yako – mafuta ni mabya sana katika chakula jaribu kutumia mafuta yenye less cholesterol, kama mafuta ya nazi, olive oil, almond au pika chukuchuku ukiongezea chakula chako na parachichi, parachichi linaweza kusababisha chakula kiwe kitamu na lina mafuta ambayo hayana madhara
 
Back
Top Bottom