Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

others wanted to break me" " but they only made me stronger " "others wanted to exploit me" " but they only made me smarter "
zlatan ibrahimovic

1578871808385.png


Age is for Human's Not for GODS Zlatan Ibrahimovic
 
unaweza ukakumbatiwa na mwanamke mrembo kuliko beyonce wa nyakati zile na usione jambo la ajabu kiupande wako hususani kihisiaaa....

kumbatio la zlatan ibrahimovic ni baraka tosha kwenye maisha yakoooo...
hayaaa andunjeeee amekumbatiwa na Mungu anayetembea... kimejisikia rahaaaaa kama kimekunywa urojo wa bifatuma kipua
1578872026390.png
 
muheshimiwa raisi ameghairisha hotuba yake kwa sababu ya kuwaonea huruma wananchi waliokaa juani hususani wanajeshi cha ajabu kuna wahafidhina wameamua kuja na wimbo wa dhihaka dhidi yake na wazanzibari wote eti sababu tunakunywa urojooooo
Hawachi na wenzako mutakapoamka munapaswa muombe radhi kabla stimu za urojo hazijapanda kichwani......

================================================

hivi ngosha mkuu alikuwepo kwenye show ya taarabu?
huku kwetu tuna professa mohammed ilyassa (the king of taarabu asilia).
nasikia huko kwenu munaye professa mwenye ingilishi mbovuuu kama ukuta wa beit el ajab



Usîjipe uungwana hunazo hizo twabia
vipembeni mwanong'ona
maovu kunizulia
l'akini habari sina wala sitoathirika
kama mulofikiria maneno kibao sana


Yangu yote yamenyoka
wewe watanga n'a njia
wala sitoadhirika kama ulo fikiria
heko maneno kibao sasa kazi wajinata
majuto yanakujia nyumba unaitafuta njia imekupotea
​

Nimeshakutoa maana wala sitokurejea,
ni kheri kufarakana tafuta mtowezana
anayemudu udhia
mimi ndie muungwana kwa sifa nimetimia
 
aso kasoro hakuna aloumba muweza
mwenye lile hili hana ndio shani yake
hata tabia kutolingana si jambo la kushangaza
kinachonikera sana nisonalo kupakazwa
kunisema sichukii kusengenywa haifai
ni hekima njema rai kunionya
sikatai la msingi niiteni na wala sitopuuza
sikatai nambieni wallah ntawasikiza
mengine msinidhani yakuwa nitawabeza
nami ntawashukuruni kwa vile mmenifunza


hivi yule ngosha mkuu alipata muda wa kupiga stori na machotaraaaaa?
wasengenyaji nawasalimiaaaa
 
Back
Top Bottom