Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mahusiano ya kimapenzi?
Mpaka sasa sijaona kama ni muhimu sana.
Umewahi kumchukia mtu bila sababu? Yaani hajakukosea kitu ila unajikuta tu humpendi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapana sijawahi mchukia mtu bila sababu pia mara nyingi nachukia tabia na wala si Mtu

Ukipata 10ml sasa hivi kitu gani utaenda kununua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…