Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1578942526994.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nakutafuta Poti. Mtanange wa leo kati ya LSU na Clemson unafikiri nani ataibuka kidedea?

Halafu nyie nini kiliwapata? Hamkufika Playoff mwaka huu au mlitolewa mwanzo mwanzo? Big Ben keshazeeka. Anzeni kutafuta quarterback mpya. Hawa akina Lamar Jackson, Mahomes na huyu wa Tennessee Titans watawasumbua sana...
Game ya leo ni ngumu aisee, ila nina imani na LSU. Ile Generation ya akina Ben, Brady na Drew Brees inaelekea ukingoni sasa; Steelers inabidi wafanye utaratibu tu kwa kweli. Lamar Jackson juzi kapigwa bao bana, tena na Tennessee Titans? Karata yangu sasa hivi ni Mahomes & Co kwenye Super Bowl!
 
Back
Top Bottom