capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Huku kwetu vipo, mwaka jana watu wamepimiwa kwa milioni mbili...karibu sana sanaKiwanja cha Milioni 5 utanunua wapi?
Siku moja nitafika ofisini kwako nikuunge mkono au ni ya kibaguzi
Hapana...
sababu kubwa ya kuona magumu ni mepesi ni kwakuwa
Mara nyingi nimekuwa nikipata furaha Kwenye vitu vidogo vidogo.
Yamekuwa hayo tena? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa anapaniki mapema yote hii?Yamekuwa hayo tena? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa anapaniki mapema yote hii?
Em asitutie aibu sis wana simba[emoji47]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema eti wameruhusu damu nyeusi yenye mkosi basi royo famili haitabaki salama kamwe. Racists....
Huyu ni mchezaji au ni Kibwengo? πππ
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817]
Nadhani ni Kagere; mchezaji bora wa Simba. Leo wamefungwa mpaka bilionea wao Mo kaachia ngazi basi Yanga ni chereko chereko tupu [emoji16][emoji16][emoji16]Huyu ni mchezaji au ni Kibwengo? [emoji3][emoji3][emoji3]