Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1578961043537.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawezi kufanya kitu kama hicho.
Huyu jamaa amechukua maamuzi ya kuwekeza Simba baada ya kupata ushauri toka kwa watu wakubwa ndani ya Taasisi Khoja Shia Ithinasheri Tanzania, ambayo ni taasisi ya kidini inayoshimika.
Rais wa wa taasisi hiyo aliwahi kuwa mfadhili wa Simba, Azim Dewji ni moja ya washauri wake.
Na maamuzi yake ya jana yalikuwa ya kwake mwenyewe baada ya kukutana na washauri wake akabadirisha.
Huenda anadhani ukiweka hela nyingi kwa wakati mmoja unapata ushindi wa uwanjani mfululizo kitu ambacho hakipo

Sent using Jamii Forums mobile app
muda utatupa jibu sahihi, ndio maana mwanzoni nikasema amerudi kutokana na shinikizo hivyo kama Simba itakua inaendelea kupoteza michezo, au wasichukue ubingwa hali itakua tofauti na atakosa uvumilivu kama ilivyotokea jana
 
Back
Top Bottom