Hawezi kufanya kitu kama hicho.
Huyu jamaa amechukua maamuzi ya kuwekeza Simba baada ya kupata ushauri toka kwa watu wakubwa ndani ya Taasisi Khoja Shia Ithinasheri Tanzania, ambayo ni taasisi ya kidini inayoshimika.
Rais wa wa taasisi hiyo aliwahi kuwa mfadhili wa Simba, Azim Dewji ni moja ya washauri wake.
Na maamuzi yake ya jana yalikuwa ya kwake mwenyewe baada ya kukutana na washauri wake akabadirisha.
Huenda anadhani ukiweka hela nyingi kwa wakati mmoja unapata ushindi wa uwanjani mfululizo kitu ambacho hakipo
Sent using
Jamii Forums mobile app