Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na changamoto zote, ndoa inabakia kitu muhimu kinacholeta heshima kwenye jamii zetu zote kiimani.
Changamoto zinapatikana kila mahali kazini, mtaani, ndani ya familia hivyo pia hatuwezi kuzikimbia ndoa kuogopa changamoto zake
Yeah kwahiyo mie naona bora jamii iache kila mtu aishi maisha yake isilazimishe watu kuolewa wala kuachika na wala eti aliyeolewa asionekane ndiyo wa maana zaidi kuliko ambaye hajaolewa

Kuna watu wako kwenye ndoa na wana stress zaidi hata ya hao ambao wako hiyo 35+ na hawajaolewa hizi ndoa hizi acheni tu basi tu ni vile watu wengi hawasemi yanayowakuta kwenye ndoa zao

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua bro Simba wamempa MO mazingira mazuri ya kufanya anachotaka.
Hali hiyo ipo tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma kwa watu kama Azim Dewji wa Simba na Abasi Gulamali au Yusufu Manji wa Yanga.
MO yeye mwenyewe anaweza kuipaisha Simba au kuishusha maana wanachama wa Simba wametoa nafasi yao ya maamuzi kwa mwekezaji ambayo huko nyuma ilikuwa inasababisha fujo.



Sent using Jamii Forums mobile app
SAWASAWA...
 
Back
Top Bottom