Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli,, ila hoja yangu ni kuwa watu wasilazimishwe kuoa ama kuolewa na binafsi siwezi kuvumilia maisha yangu yote kuumizwa kichwa na mtu mzima mwenye nywele kwenye kila kona ya mwili wake hivyo heri nikuwe single..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo maisha yote, tafuta mwingine ujenge maisha watu hawafanani.
Tatizo wanawake huwa mnachagua sana, ukianza kuchagua sana lazima ukutane na mitihani.
Wanaume tunapotaka kuoa huwa tunaangalia tabia tu.
Huwezi kuyapa yote kwa mtu mmoja, yani awe mzuri, elimu ya chuo, awe na msambwanda, mcha Mungu, mvumilivu nk.
Hapana.
Tabia ndiyo kila kitu, sura hata mbuzi anayo
Ofcourse na ndicho ninachomaanisha,, kuliko kuwa kwenye ndoa ya aina hiyo ni bora nibakie single maisha yangu yote..

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe wasema,, lakini siyo wanaume wote wanaoangalia tabia tu..

Wanaume wengi wanaangalia hivyo vyote ulivyovitaja kutoka kwa mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama aweza tokea mtu kukulazimisha uolewe au uishi bachela,. Nadhani hata wazazi hawawezi hasa kama umevuka 25yrs
Tunajaribu kupanua ubongo wetu ili kujenga mahusiano yenye amani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…