Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Acha kabisa uchawi upo. Mimi mwenyewe nina ushuhuda.Huu Uzi Leo nimeupitia kidogo.
Nikawa najisikia kucheka niliposoma baadhi ya story
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe umeuweka ushuhuda wako kule nikausome?Acha kabisa uchawi upo. Mimi mwenyewe nina ushuhuda.
Kamwe mimi mume wala wanangu hatutakuja kufa kwa mapenzi ya binadamu .Never on earth.
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo kaa kimya [emoji16][emoji16][emoji16]
Waafrika walioko Iran wanateseka [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1323407