moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wakulima poleni. mwaka huu uwe wa juhudi zaidi
Mliotoka kazini poleni
Ni siku ya kwanza ya kazi kwa mwaka huu2020
Wagonjwa Mungu awaponye...
[emoji23][emoji23]Now that you are sober and probably broke,and the only thing you can pay is attention.....let me take this opportunity to wish you a Happy New Year 2020 and if you are in need of transport money, school fees or rent please SMS the word BROKE to the owners of all the joints you spent your resources during the festive season and you'll get refunded right away ...Happy 2020 Pambana na hali yako na ukipambana usitingishe yangu[emoji81][emoji81][emoji1422]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi Leo nimeupitia kidogo.![]()
Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako
Wakuu habari zenu, ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Leo nataka kuweka ushuhuda wangu kwa niliyoyashuhudia live juu ya nguvu za giza, kwa wasioamini nadhani uzi huu hautakuwa na thamani kwao, kama na wewe unao ushuhuda usisahau kushea nasi. 1. Ushuhuda wangu unaanzia mwaka 1992 nikiwa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
555Kupata vichekesho vyake vingine sijui tunabonyeza nyota alafu zinafata namba gani kabla ya reli?
Hatari sana bro 😁Niaje bro[emoji23]
Kuna visa vinachekeshaHuu Uzi Leo nimeupitia kidogo.
Nikawa najisikia kucheka niliposoma baadhi ya story
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Now that you are sober and probably broke,and the only thing you can pay is attention.....let me take this opportunity to wish you a Happy New Year 2020 and if you are in need of transport money, school fees or rent please SMS the word BROKE to the owners of all the joints you spent your resources during the festive season and you'll get refunded right away ...Happy 2020 Pambana na hali yako na ukipambana usitingishe yangu[emoji81][emoji81][emoji1422]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilicheka Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna visa vinachekesha
Kuna ile ya jamaa wanaotaka utajiri wakaenda oga makaburini wakashikwa matako,akiii nilicheka kama chizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app