Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
100%Hata hivyo, Liverpool bila ya VAR msimu huu, vita ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England ingekuwa mbichi kabisa, si kama sasa wanavyoonekana wametawala
100%Hata hivyo, Liverpool bila ya VAR msimu huu, vita ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England ingekuwa mbichi kabisa, si kama sasa wanavyoonekana wametawala
Ata wakiona watajifanya hawajaona kwajinsi mapenzi yao yalivyo makubwa kwa chama lao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]wasione moudy na anne
Admin please Add me 😁
Rekodi ya aseno ya unbeaten hawawezi ipata maana aseno enzi hizo hakua na VARAta wakiona watajifanya hawajaona kwajinsi mapenzi yao yalivyo makubwa kwa chama lao
Sawasawa...Shida ya matukio hayo ya kuotea ni mistari inayochorwa kwenye picha za marudio za video za mechi, zinazua utata haionekani na waamuzi wa VAR wanatumia teknolojia ya 3D. Picha inaangaliwa kila pembe.
Kweli kabisa...Hata hivyo, Liverpool bila ya VAR msimu huu, vita ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England ingekuwa mbichi kabisa, si kama sasa wanavyoonekana wametawala
Aisee,,,,Bao lile la Mane, kabla halijafungwa Virgil van Dijk alionekana kuunawa mpira, lakini kwa mujibu wa sheria ya Ifab, kushika kwa beki huyo kunakuwa hakuna maana kwa sababu mpira umepita kwa wachezaji wawili mbele, Adam Lallana na Mane, aliyefunga.
Ile record kuivunja ni ngumu sanaRekodi ya aseno ya unbeaten hawawezi ipata maana aseno enzi hizo hakua na VAR
Mh!!Ushindi wa Arsenal umemaliza rekodi yao mbaya ya kufungwa nyumbani katika mechi saba za mashindano yote na sasa wamepanda hadi nafasi ya 10, wakiwa nyuma kwa pointi nne kwa Manchester United.
Queeennn ta ta tayaaariii in cole's and anko's voice