Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1577990485281.jpeg
 
Aseee, hawa jamaa si ilisemekana waliomba msamaha kwa mkurugenzi wa mashtaka ili wapate msamaha, ikawaje tena?
Kesi inayowakabili Harbinder Seth, ambaye alikuwa Mwenyekiti Mtendaji wa PAP na Mkurugenzi wa VIP Solution, James Rugemarila imeshindwa kuendelea baada ya usafiri wa kuwatoa gerezani kuwapeleka mahakamani kukosekana, na kufanya kesi hiyo kuahirishwa hadi Januari 16, 2020 View attachment 1310475

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom