Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aseee, hawa jamaa si ilisemekana waliomba msamaha kwa mkurugenzi wa mashtaka ili wapate msamaha, ikawaje tena?
Mwenyewe sikuelewa,

But one thing for sure, bado wanashikiliwa.

Sasa inashangaza eti wameshidwa kufika mahakamani kwa sababu za kukosa usafiri! Hii nchi inatia hofu sana, kama sielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom