Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
Ha ha ha wamepotea wote sio
Kwema pole.. Poleni sana
Kuanzia jana mpira una matokeo manne..
1.Kufungwa
2.Kufunga
3.Sare
4.KUSUSA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro,hili jibu umelitoa kwa hisia kali sana [emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana bro,
Mchezo wa mpira umetoa maamuzi yake kama ilivyo ada[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,hili jibu umelitoa kwa hisia kali sana [emoji23][emoji23][emoji23]