Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Raha ya nyama ulimi uguse saliva in numbisa's voice[emoji23][emoji23][emoji23]

Good night fam
FB_IMG_1577776990595.jpeg


All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Kwema kabisa Ankoo, ahsante Mungu Januari ya kwanza nimeimaliza salama. Sijui hiyo Januari pili kuanzia kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama njanuari ya kwanza imeisha salama basi Mungu atafanya wepesi na njanuari pili itakuwa salama kabisa

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Raha ya nyama ulimi uguse saliva in numbisa's voice[emoji23][emoji23][emoji23]

Good night famView attachment 1324406

All the good stuff happens outside our comfort zone.
Hapa mbona Yegomasika haombi kudadavuliwa?
Ila tuache utani sisi wazee na hivi vifaranga vya kisasa hatuendani kabisa!
Hivi hamna suluhisho la upatikanaji wa hela ya haraka kwa hawa mabinti wakituacha sisi wazee walugaluga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom