myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Safiii
[emoji818][emoji818][emoji818]
Mmmm...Raha ya nyama ulimi uguse saliva [emoji23][emoji23][emoji23]
Safiii
He!! Mbabe huyo
Mkuu kizazi chetu akina Eva wetu waliwahiwa na kizazi cha nyoka, matunda yao yaliliwa kwa fujo. Acha na sisi tulipe kisasi kwa hawa Evahs watoto kwa pesa za pensheni mkupuo...
Mkuu kizazi chetu akina Eva wetu waliwahiwa na kizazi cha nyoka, matunda yao yaliliwa kwa fujo. Acha na sisi tulipe kisasi kwa hawa Evahs watoto kwa pesa za pensheni mkupuo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa Sponsor!
Hapo nilikua Dodoma kifuatilia mafao yangu.View attachment 1324446
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi? Ni ho chi minh ndiye alikuwa anahangaikia mafao akisindikizwa na mdogo wake Kichwa KichafuHivi zile pesa ulisha lipwa maana ulinisumbua nazo sana kwa babe S
Sent using Jamii Forums mobile app