hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
helow babe[emoji3059][emoji7][emoji8]
Kinacho nifanya nipate faraja ya Moyo---
Huu uzi una watoto wazuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji wa wanasiasa unatuponza sana.Yaani hilo ni eneo korofi ....kila mwaka hiyo hali huwa inajirudia ....lakini ajabu ni kwamba serikali mpaka leo bado haijaja na plan Inayoweza kuondoa hiyo kero
Mbaya zaidi pamekuwa hivyo zaidi baada ya ile Yard ya mwendokasi kujengwa pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Maungio ya GOTI hubeba 80% ya uzito wako ukiwa umesimama, na 150% ya kani ya uzito ukiwa unatembea.
[emoji117] Uzito mkubwa ni moja ya sababu kuu ya maumivu na kusagika Kwa maungio ya goti.
ILI KULINDA GOTI
[emoji2389] Punguza Uzito
[emoji2390] Fanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya paja na goti. View attachment 1324880
Sent using Jamii Forums mobile app
Aahh Ngoja nifikirie kwanza ... Maana hao Depal na Hawachi ni habari nyingine kabisa mkuu ... wameumbika hatariTufanye barter trade,Tupe Thad na Cheupe umchukue Depal na Hawachi.
Sent using Jamii Forums mobile app