Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naam ..ni team nayo ipenda ..ila huwa Nina kiri kuhusu hicho ulichokisema pia

Sent using Jamii Forums mobile app
lionel messi anaelekea miaka 33.
gerrard pique anaelekea miaka 35
sergio bosquet anaelekea miaka 33.
jordi alba anaelekea miaka 33

msingi mkuu wa barcelona kiuchezaji unajengwa na hao wanadamu wanne wakiongozwa na mtakatifu lionel messi.

je kuna mchezaji yeyote mwenye uwezo wa kuwaletea changamoto ya ushindani wa nafasi wachezaji hao?

jibu ni hapana...
huko academy kuna mchezaji mwenye uwezo wa kuja kuziba nafasi za wachezaji hao?

jibu hapana na sidhani kama huko la masia kuna mtakatifu mpya aliyekwisha tengenezwa kwa sasa.

barcelona wataendelea kuingia sokoni kutafuta wachezaji maarufu bila ya kuangalia asili yao ya kiuchezaji wa timu.

dembele
malcom
coutinho
arda turan
vermaelen
n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…