andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu ni mwema. Nimepita mitaa fulani kule bustani ya Edeni, hali nilioikuta hiyo asubuhi nikakukumbuka sana, ikabidi nikusalimu kwa kutumia hiyo pichaHeri ya mwaka Mpya Kaka Habari za uzima hapo nyumbani, Huku kwema sana tunashukuru kwa uzima na Afya tuliyopewa
Sent using Jamii Forums mobile app