andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mungu ni mwema. Nimepita mitaa fulani kule bustani ya Edeni, hali nilioikuta hiyo asubuhi nikakukumbuka sana, ikabidi nikusalimu kwa kutumia hiyo pichaHeri ya mwaka Mpya Kaka Habari za uzima hapo nyumbani, Huku kwema sana tunashukuru kwa uzima na Afya tuliyopewa
Huyu mamsi alisoma schul flan maarufu ya serikali pale Moshi mjini karibu na magereza.
Lakini Eva alimsisitiza Adam ale tunda, maana yake utamu alikuwa anaujua. Unadhani yeye nyoka hakutamani tunda kwa kigori binti matata?[emoji23][emoji23]Nyoka hakula tunda kwa Eva, alinshawishi atoe tunda kwa Adam.
Kwahiyo Adam ameanza mwenye kula maepo, mapera, parachichi, maembe nk[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini Eva alimsisitiza Adam ale tunda, maana yake utamu alikuwa anaujua. Unadhani yeye nyoka hakutamani tunda kwa kigori binti matata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Kombe hili lina urefu wa sentimeta 36.5 (inchi 14.4) na limetengezwa kwa dhahabu safi yenye uzito wa kilo tano (ratili 11). Thamani yake ni Dola 20 milioni.
Duh!!Saa 10:12a.m
Maisha yanaendelea
Heri ya mwaka mpya kijana wangu [emoji120][emoji120]
Vingunguti kwema? View attachment 1325119
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatariii
✔✔