Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Naogopa kupotezwa😄
Naogopa kupotezwa😄
nipo mamii...Asante, Lala salama pia usiache Kusali
[emoji120][emoji120][emoji120] Amennipo mamii...Asante, Lala salama pia usiache Kusali
Huyo kaka wa pembeni anaonekana ana maswali mwengi kichwani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanaoteseka kama mashabiki wa domo(ccm na makonda) na simba(type ya mo)Ndo maana huwa sitaki mazoea na mpira wa nyumbani!
Kuanzia leo si-support simba fc na timu yoyote ile Tz.View attachment 1326157
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini ukatae kuwa shabiki waWatanzania sijui tunakuaje?
Me sitaki tena mpira Tz.
Btw vipi haliyako?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna watu wanaoteseka kama mashabiki wa domo(ccm na makonda) na simba(type ya mo)
Kwa nini ukatae kuwa shabiki wa
mpira kwa sababu ya mtu mmoja samaki mmoja akioza sio wote endelea kuwa mzalendo.
Naendelea vizuri za kwako.
Huwa nawaza wewe ni BAK ila hii I'd nyingine.Akioza 1 wote wanaoza! Na huyo jamaa huwa sistahimili kumtizama wala kumsikia popote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitanii ni kweli kabisa mpendwa
Capitalpool ni kijana mdogo sana kiumri kumlinganisha na BAK, hata ukifuatilia mwandiko tu utagundua. BAK ni chuma kingine kabisa kile, hakina simileHuwa nawaza wewe ni BAK ila hii I'd nyingine.
Capitalpool ni kijana mdogo sana kiumri kumlinganisha na BAK, hata ukifuatilia mwandiko tu utagundua. BAK ni chuma kingine kabisa kile, hakina simile
Sent using Jamii Forums mobile app