Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
BAK naamini kwenye miaka 32yupo hajafikia uzee wala uhenga.Capitalpool ni kijana mdogo sana kiumri kumlinganisha na BAK, hata ukifuatilia mwandiko tu utagundua. BAK ni chuma kingine kabisa kile, hakina simile
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo wote nawe umejitoa mpendwa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]BAK naamini kwenye miaka 32yupo hajafikia uzee wala uhenga.
Sawa ila labla wewe mpendwa humu ni mhenga ila kwa wengine mmmmh[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Angekuwepo tungemuongelea.
Ila huyo mpendwa wako ukimfuatilia vizuri utakuta ni uzao uliopatikana kwenye vuguvugu la mfumo wa vyama vingi....90's
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nipo.Tupo wote nawe umejitoa mpendwa
Mungu ni mwema huku wote wazima.
Issue gani nimesahau mpendwa nikumbushe tafadhali.Na mimi nipo.
Halafu kuna siku tulikutana kwa Ushmen, ulisema upo mitaa ya kati, ukasema kuna issue utaifuatilia...
Hiyo mitaa nina haja nayo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu ni mwema huku wote wazima.
Endelea kuchota hekima kwa dadaangu Mpendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli muhimu ni kwamba dada yangu umeweza kujishusha na una cheka na kila mtu tofauti na mwanzo wengi tulikuwa tuna kuogopa.Sawa ila labla wewe mpendwa humu ni mhenga ila kwa wengine mmmmh
Shukrani sana ile comment yako ilinipa maswali mengi kichwani na wasiwasi mwingi.Ni kweli muhimu ni kwamba dada yangu umeweza kujishusha na una cheka na kila mtu tofauti na mwanzo wengi tulikuwa tuna kuogopa.
Tutumie uzee wetu kuwajenga hawa vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi wa fursa za mitaa ya katiIssue gani nimesahau mpendwa nikumbushe tafadhali.
Ipi hiyo tena?Shukrani sana ile comment yako ilinipa maswali mengi kichwani na wasiwasi mwingi.
Sikufanikiwa kaka kuna jambo lingine nafanya.
Na mimi nipo.
Halafu kuna siku tulikutana kwa Ushmen, ulisema upo mitaa ya kati, ukasema kuna issue utaifuatilia...
Hiyo mitaa nina haja nayo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mpendwa ulipotaja mitaa😀😀