HAHAHA NYUMA KOTE NIMESHASAMBAZA NAZIWAHI ZILE MPYA MPYAHa ha haaa
Ukiboreka rudi nyuma kasambaze like
Si sikii kwa penzi lako sioni baby zepine nimegandana na wewe sitaki mwingine... [emoji173] [emoji173] [emoji173][emoji23] [emoji23] uchochezi huo ujue?au unataka niachike jamani?
Usiende kufungiwa na kugawa mihela kama jana[emoji125] [emoji125]Nyuka likes kama kichaa
Tamka kwa sauti kuua,e,i,o,u
1+1=2
Silabi "ba,be,bi,bo,bu"
HAYA WOTE SOMENI KWA SAUTI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We Mzee una roho ngumu sana inaonekana hata kafara unatoaga sio kwa roho hiyo duuuuuuuuuuh