Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huyo jamaa mbabe wake rashford
Hehee!!Tunakunywa supu leo, jiandae tu
Kwema carba, uzima upo pande hizo?Hehee!!
Ngoja niandae chapati.
Kwema mzee?
Wanyaki bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]View attachment 1327656
Huyu Ni Mimi kabisa miaka ijayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Christina Nyamwiza Kajuna wa kijiji cha Bugombe Kanyigo ametimiza umri wa miaka 108.
Anasema pamoja na umri wa wake huo hajawahi kulazwa hospitali.
Pembeni yake ji mwanawe wa kwanza mwenye umri wa miaka 75View attachment 1327622