Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bring him alive!!!
IMG_20191220_162859.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
JAY Z ADATA NA MUZIKI WA BURNA BOY. Siku ya jana Jay Z alitoa Playlist ya ngoma ambazo amezisikiliza zaidi kwa mwaka huu 2019 kupitia mtandao wa Tidal, katika Playlist yake yupo Grammy Award Nominated kutoka Nigeria Burna Boy ambapo wimbo ambao ameusikiliza zaidi ni "Collateral Damage" ambao ulikuwa ni maalumu kwa ajili ya kuhamasisha upendo baina ya Waafrica ikiwemo kuachana na ishu za Xenophobia.
 
Back
Top Bottom