moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Asante sana.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pole sana.
Uje uchukue mzigo wako halafu[emoji3]
wazee wa kitengo wameshafanya yaoWatu watano waliovaa nguo za kiraia wamemkamata kwa nguvu na kumuingiza kwenye gari aina ya Harrier mwanaharakati na mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Ndg. @TitoMagoti na kuondoka naye kusikojulikana muda mfupi uliopita maeneo ya Mwenge.
#FreeTitoMagoti View attachment 1298072
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeh!Watu watano waliovaa nguo za kiraia wamemkamata kwa nguvu na kumuingiza kwenye gari aina ya Harrier mwanaharakati na mfanyakazi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Ndg. @TitoMagoti na kuondoka naye kusikojulikana muda mfupi uliopita maeneo ya Mwenge.
#FreeTitoMagoti View attachment 1298072
Sent using Jamii Forums mobile app