Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Network itakua imekapenda zaidi[emoji23][emoji23] vumilia huenda wakikachoka wata kaachia
Aisee...A woman’s brain shrinks during pregnancy and can take up to six months to regain its full size.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa kabisa...Watoto
Watoto ni baraka na zawadi kubwa. Wengi huwaona kama watu wasiofa lakini kwa wengine ni lulu. Mara nyingi watu hawatambui thamani ya watoto hadi pale wanapowakosa. Ni muhimu kushukuru kwa zawadi hii kubwa.