carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kaka unataka kuniponza[emoji23][emoji23]
Sema neno dadake, utani baina ya Wasukuma na watu wa Pwani hatukuanza sisi, umetoka vizazi na vizazi hukoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app