Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hao Liverpool? Liverpool ni moto! Hakuna haja ya kuandika Liverpool... Liverpool wanaongoza ligi kwa mbali sana...
YNWA Liverpool😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zamu yao msimu huu. Kule uzi kwao wana furaha yaan hadi raha vile

#ilaInauma
 
Insulin kazi yake kubwa ni kuishughulikia sukari (glucose) na hivyo kuzipa nguvu seli za ubongo.
Kwa bahati mbaya ubongo wa mtu mwenye ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu hauwezi kujitengenezea insulin yake kwa usahihi na vya kutosha.
 
Huzuia uwezekano wa kupata kansa
Mafuta ya nazi yanao uwezo wa kupigana na seli za kansa. Tafiti za karibuni zinasema kitu chochote chenye uwezo wa kuuongezea nguvu ubongo husaidia pia kuzuia kusambaa kwa seli za kansa katika mwili.
 
Back
Top Bottom