Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee,Hati zilizovuja zinaonyesha jinsi mwanamke tajiri barani Afrika alivyopata utajiri wake kupitia unyonyaji kwa nchi yake na ufisadi. Isabel dos Santos alipata mikataba ya faida kubwa inayojumuisha ardhi, mafuta, almasi na simu wakati baba yake alipokuwa rais wa Angola, nchi iliyoko kusini mwa Afrika yenye utajiri wa maliasili. Hati hizo zinaonyesha jinsi yeye na mumewe walivyoruhusiwa kununua mali za serikali katika safu ya mikataba mibaya. Hata hivyo ameendelea kukana shutuma hizo akidai ni uwongo na kwamba kuna uwindaji wa kisiasa dhidi yake. Kwasasa amefanya Uingereza kuwa ndio makazi yake na anamiliki mali ghali katikati mwa London
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Genge la wahuni Manchester [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1328666
[emoji7]
Ni lini umehama Manchester D? πSijawahi kuwa Manchester...hata ukiuliza hapa najua utapata majibu
Yamekua hayo D?
ππ
Hili tukio linanikumbusha ile issue ya MoroccoNumbisa tunaomba maelezo ya kina hapaππView attachment 1328535