Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Akhsante kwa kukubali[emoji3526][emoji120][emoji120][emoji3][emoji3] aya mmeshashinda league
✔✔
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Duh!Inter Milan pia ina hamu ya kumsaini kiungo wa kati wa Croatia Luca Modric , 34, kutoka Real Madrid(Sport - in Spanish)
Wenye hela ndefu ndio wanapata tabuManchester mnaonaje hela hizi mngeagiza viazi hapa mwakaleli ili mle japo chipsi.
Hizi hela Ni sawa mlitumbukiza kwenye tundu la choo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1328955
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini huyu mdada..NIKO NASHANGAA UPUMBAVU
Kwa hisani ya Mr misifa View attachment 1328990
Sent using Jamii Forums mobile app
Akhsante kwa kukubali[emoji3526][emoji120][emoji120]
Maana Manchester hamchelewi kubisha
Sent using Jamii Forums mobile app
kuanzia leo mimi nashabikia Aston VillaDeal done. View attachment 1328980