✔✔
✔✔
Kila kiumbe na majaaliwa yakeTafakari Kabla ya kuweka malengo yako juu ya mtu. Kumbuka malengo yake yakitimia kabla ya malengo yako hautakuwa salama.View attachment 1328811
Tunaujua sana
Aaaah!jamaa unadekezwa kama mboso vile[emoji23][emoji23]Ninavyopenda kudekezwa sasa ata sikawii kufika
Wacha wee[emoji23][emoji23]Mie pia kipenzi, haya njoo udeke[emoji8]