Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Salama kabisa, nashukuru.
Salama kabisa, nashukuru.
Hello Sweetheart!Hi Kd[emoji2320]
Hi babe[emoji2320]
Salama kabisa, nashukuru.
Niko salama babylove, Wewe je?Hello Sweetheart!
Upo salama?
Nipo salama bro vipi habari yako na ndugu walio kuzunguka?
Nikweli uwepo wangu umekua wa kusua sana ila napotea kwa mambo ya kheri kabisa ndugu usiwe na shaka
Nipo salama kama wewe ila nimekumiss sana mumy....Niko salama babylove, Wewe je?
Mie pia kipenzi, haya njoo udeke[emoji8]Nipo salama kama wewe ila nimekumiss sana mumy....
Ameen bro....Ikiwa unapotea kwa mambo ya kheri ni jambo la kushukuru
Mwenyezi Mungu akusimamie kwenye mambo yako bro.
Vinginevyo juzi hapa tulifiwa na kijana wetu mmoja, tumezika Ijumaa, tuliobakia tuko salama tunashukuru bro