Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
karibu TH tushabikie chama letu hili jipyaπ π
Dah! Laini ndio inaenda fungwa alafu sina usingizi nimebakiza mb 800 doh!
Nimemuonea huruma jinsi alivyo. Afu hata hajali
hapo wanatengeneza kitu inaitwa BOHA
nimeona taarifa kua ni line 900 tu ndo zitazimwa kwanza
BOHA ni pombe inayotokana na miwa inapatikana huko Tanga wilaya za korogwe na Lushoto zaidi, hio ni mashine wanayotumia kukamulia miwa myoyambendi bila shaka ana uzoefu zaidi
Basi mkishinda muache kelele

kuanzia leo mimi nashabikia Aston Villa
Asante...mi nitakuja kumuagalia samagoal tukaribu TH tushabikie chama letu hili jipya
kesho tunacheza na Watford yaani tunawachakaza sana
Tafakari Kabla ya kuweka malengo yako juu ya mtu. Kumbuka malengo yake yakitimia kabla ya malengo yako hautakuwa salama.View attachment 1328811