Habari ya majukumu wanajukwaa wenzangu, ni msichana ambaye nimetumia muda mrefu sana kumpata tangu nikiwa sina kitu hadi sasa hivi angalau kidogo nasema nina uhakika wa matumizi ya kawaida ya kwangu na ya kwake pia. Kwa mara ya kwanza nilionana naye Arusha mwaka 2017 nikiwa kwenye mishemishe za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.