ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kwemaa mtoto mzuri, za hapo kota mabatini.?[emoji23][emoji23]
Sijaelewa babe,free soul aje tena[emoji16][emoji16]Sema neno moja nafsi ipate kupoa[emoji23][emoji23]
Hakuna mke hapo.Huyu mdada wa Dar atanifelisha michongo
Habari ya majukumu wanajukwaa wenzangu, ni msichana ambaye nimetumia muda mrefu sana kumpata tangu nikiwa sina kitu hadi sasa hivi angalau kidogo nasema nina uhakika wa matumizi ya kawaida ya kwangu na ya kwake pia. Kwa mara ya kwanza nilionana naye Arusha mwaka 2017 nikiwa kwenye mishemishe za...www.jamiiforums.com
hawezi akawa amepotea TRUST ME, wasubiri tu atarudi
Kuna mpuuzi huko ameshafungua uzi anasema kwamba mwamba hastahili kucheza Epl.kuanzia leo mimi nashabikia Aston Villa
hawezi akawa amepotea TRUST ME, wasubiri tu atarudi