Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Kunona nona ovyo na kukagua simu vinahusianaje,
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekushinda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekushinda wapi?
Ukiona babe wako ananona nona hovyo mpe simu yako akague. Atakavyovikuta kwenye simu huko vitamkondesha tu otomatikale..[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
anamaanisha akinenepa hovyo mpe simu akague (huko atakutana na vitu vitakavyo mpa stress) na atakonda kwa stress
Hatari sana aiseeHakuna mke hapo.
Bidada kamuona mshkaji kama chuma ulete vile.
akodingi tu gugo transiletaNionyeshe makovu yako. Ya kwangu yamenichosha
View attachment 1331140
Ahaa sawa, mimi nilijua labda anamaanisha akiona madudu atakuacha na hapo itakuwa kuvuja kwa pakachaUkiona babe wako ananona nona hovyo mpe simu yako akague. Atakavyovikuta kwenye simu huko vitamkondesha tu otomatikale..[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ila hakuna guarantee kuwa atakonda[emoji3][emoji3]anamaanisha akinenepa hovyo mpe simu akague (huko atakutana na vitu vitakavyo mpa stress) na atakonda kwa stress
[emoji2][emoji2]
ni kweli unaweza ukampa simu ukajikuta umempa sababu ya kukuacha