Sema TH. Bila shaka mwaka mpya unazidi kukuletea mibaraka. Umefanya vyema kusalimia wahenga. Heshima kwako mara dufu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mbona hatudalimii sisi wengine The Happiness
Sema TH. Bila shaka mwaka mpya unazidi kukuletea mibaraka. Umefanya vyema kusalimia wahenga. Heshima kwako mara dufu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23] nakaribia kuwa mkweo[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Huku salama TH...
Naona kuna mtu anakufundisha Kisukuma. Hiyo Baghosha imekutoka vizuri sana. Endelea hivyo hivyo [emoji1547][emoji1547][emoji16][emoji16]
Anasalimia wahenga tu. We pia ni mhenga kwani bro? Nyie maandaeitini si mnaweza kukutana hata kwenye manaiti klabuzi huko bana? [emoji16][emoji16][emoji16]Mbona hatudalimii sisi wengine The Happiness
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji123][emoji123]
Kapiga hela nzuri sana...![]()
Binti wa miaka 19 auza bikra yake kwa bilioni 3
Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara Ubikira wake ulithibitishwa na...www.jamiiforums.com
Promo muhimu bro. Kwema pande hizo? Wasukusu wanasemaje huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji123][emoji123]
Bro shikamoo [emoji4][emoji4]Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mambo ni yenteHaha,chalii ya R nisamehe!
Mambo ni vipi?
Heh[emoji23][emoji23] nakaribia kuwa mkweo[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Marahaba sis. Unaendeleaje?
Club watu wapo busy kuchezaAnasalimia wahenga tu. We pia ni mhenga kwani bro? Nyie maandaeitini si mnaweza kukutana hata kwenye manaiti klabuzi huko bana? [emoji16][emoji16][emoji16]