Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah bila kusahau baiskeli broKapiga hela nzuri sana...
Huku kwetu wakati mwingine chips dume tu sometimes unaondoka nayo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Daah!!Hahah bila kusahau baiskeli bro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#unaninilakini
Haha kweli aisee,promo kama kawaida..Promo muhimu bro. Kwema pande hizo? Wasukusu wanasemaje huko?
[emoji23][emoji23][emoji23] unamtetea huyoMarahaba sis. Unaendeleaje?
Nimemuona Ninge hapo juu eti kasema we mkorofi. Nilikasirika sana halafu nikamsamehe tu ghafla. Heri angejua...
Basi sijatembea dar kabsa,Huko ni hatari zaidi
#nmemissuoneDaah!!
Ha haha ha si utashindwa kutembea sasa, maana hapo yenyewe ni balaa
hivi vibinti vinavyoanza kukua havijielewi kabisa uwezekano ni mkubwa amejipoteza mwenyewe kwa baharia
The Happiness umeona chama letu la @AstonVilla jana tulichomfanya Watifodi