Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
😂😂 tulilala mchana,mume na mke bado hamujalala mpaka muda huu?
au kitanda kimejaa kunguni?
au hamida kashafanya mambo yake?
wajinga nyie fanyeni mulale mupate kuzaaa watoto watakaoweza kurithi nafasi ya kangi lugola
vipi mzee wa kulala mwenyewe kama nyoka unazungumziaje huyu Jogoo aliyeshindikana