Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mume na mke bado hamujalala mpaka muda huu?
au kitanda kimejaa kunguni?
au hamida kashafanya mambo yake?

wajinga nyie fanyeni mulale mupate kuzaaa watoto watakaoweza kurithi nafasi ya kangi lugola
😂😂 tulilala mchana,

vipi mzee wa kulala mwenyewe kama nyoka unazungumziaje huyu Jogoo aliyeshindikana
 
ila nyie livapuu hadi mnakera yaani kila siku mna furaha tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Liva Ni dawa kwa magonjwa makubwa kwa madogo.
Tushawachapa hao wahuni moja.

Nakwenda kulala..nikiamka asubuhi nutajumlisha na magoli ya half time inayofwata then nalianzisha[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakuta Jogoo wenu ameshaliwa na hawa mbweha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…