myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Yan me ndio umenivuruga kabisa 😂naupenda huo wimbo
kwa Hamida huyu unaweza hata kunywa sumu akikuacha
Twenty twenty [emoji28]
Sana sana! Hakuna maumivu makali kama hayo! Au unaambiwa, kwani nilikuomba??
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Liva Ni dawa kwa magonjwa makubwa kwa madogo.
Tushawachapa hao wahuni moja.
Nakwenda kulala..nikiamka asubuhi nutajumlisha na magoli ya half time inayofwata then nalianzisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiswahili kina utamuUlichosema ni kama tu kilichosemwa kwenye ile picha ila wewe umekileta kwa kiswahili tu
Sent using Jamii Forums mobile app