Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuliwahi kuwa na msichana wa kazi wa kuitwa Stella,, tabia alizokuwa nazo mwee mwee mwee naomba tu niishie hapa mie..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo alifoji jina..
Hakutakiwa kuitwa Stella.

Majina micharuko yapo Kwenye ule Uzi wa kutaja majina ya wapenzi usiotaka kuwasikia..
Ngoja nirudi nikausake ule Uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom