myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π πYaani mechi 40 bila kupoteza mchezo ndani ya ligi kali kuliko zote Duniani View attachment 1332725
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
Tema mate chini.
Sijawahi ona Stella mcharuko..halafu mm sehemu ninayoishi wapo wachache au unakuta hakuna kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule Uzi mm nilitolea mfano[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha bora ukubali tu,kuna sehemu umejitaja
Marahabaa stella
Heheheheee basi mwenzio majina yote nilipachikwa kwa style hio tuUle Uzi mm nilitolea mfano[emoji23][emoji23][emoji23]
Najua Kuna Uzi umeona juzi halafu Watu wakawa wameniquote
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha anakataa sasa hvHahahaha watu mna kumbu kumbu. Katika pitapita zangu huko nikamkuta anne anajiita stella
Huyo alifoji jina..Tuliwahi kuwa na msichana wa kazi wa kuitwa Stella,, tabia alizokuwa nazo mwee mwee mwee naomba tu niishie hapa mie..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi?[emoji3][emoji3] mbona nliona umeitwa ivo ukaitika
Marahabaa stella
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani huyu stella ni nani jamani??[emoji848][emoji848]Wow,Stella jina zuri sana
Huwa ni wacute sana!!
#wakubwawanafaidi
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnanionea,Mimi sio stella
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtakatifu[emoji2]Kwani huyu stella ni nani jamani??[emoji848][emoji848]
Weeee stella nnaowafahamu pasua kichwaHuyo alifoji jina..
Hakutakiwa kuitwa Stella.
Majina micharuko yapo Kwenye ule Uzi wa kutaja majina ya wapenzi usiotaka kuwasikia..
Ngoja nirudi nikausake ule Uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bibie wa majogoo feki 55555Kwani huyu stella ni nani jamani??[emoji848][emoji848]
55555555Hahahaha anakataa sasa hv
Mimi sikubali..Heheheheee basi mwenzio majina yote nilipachikwa kwa style hio tu