Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sikubali..
Haiwezekani mnibambikie jina...
Mwenye ushahidi alete hapa,Bila hivyo hizi zitakuwa porojo Kama porojo nyingine[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mamlaka niliyojipa kuanzia leo tutakutambua kwa jina la Stella kama hulitaki na unabisha hili jina sio lako weka cheti cha kuzaliwa[emoji41][emoji41]
 
Walilitoa wapi hayo majina!???

Aisee Mimi najua jina hili si la watu wasumbufu...Tena lilikuja likiwa limepigwa faya faraghani UWATA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hao walidandia majina

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa huu utetezi stella wetu upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…