Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] raha sana
Siyo powa [emoji16][emoji16]

Hivi ule uzi siku ile ulifikia wapi? Wa yule jamaa aliyekuwa anasema eti malkia wetu alishavuta tangu mwaka jana? Nilirudi nikakuta umeshafutwa....
 
Sikuuona hata duh kumbe kuna uzi wa hivyo ulianzishwa
Ndiyo. Jamaa alikuwa anasema kuwa alipata taarifa kuwa eti Malkia alishatangulia tangu mwaka jana mwishoni. Baadhi yetu hapa waliuona kwa sababu kulikuwa na comments zao huko.

Kuna shoga yake mmoja alikuwa huko North Carolina nilijaribu kumtafuta lakini namba yake ikawa imeshafungwa na inasemekana alisharudi nyumbani.

Ilikuwa habari ya kushtusha sana. Najaribu kumonitor idadi ya likes zake. Nikiona zinaongezeka kwa ule mtindo wa ID zake nyingine basi nitajua kuwa yungalipo. I hope siyo kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…