Ndiyo. Jamaa alikuwa anasema kuwa alipata taarifa kuwa eti Malkia alishatangulia tangu mwaka jana mwishoni. Baadhi yetu hapa waliuona kwa sababu kulikuwa na comments zao huko.
Kuna shoga yake mmoja alikuwa huko North Carolina nilijaribu kumtafuta lakini namba yake ikawa imeshafungwa na inasemekana alisharudi nyumbani.
Ilikuwa habari ya kushtusha sana. Najaribu kumonitor idadi ya likes zake. Nikiona zinaongezeka kwa ule mtindo wa ID zake nyingine basi nitajua kuwa yungalipo. I hope siyo kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]